Psalms 109:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pasiwe na mtu wa kumwonea huruma, au Kuwatunza watoto wake yatima!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asiwepo mtu yeyote wa kumtendea mema wala wa kuwahurumia yatima wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asiwe na mtu wa kumfanyia fadhili, Wala mtu wa kuwahurumia yatima wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pasiwe na mtu wa kumwonea huruma, au: kuwatunza watoto wake yatima!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asiwepo mtu ye yote wa kumtendea mema wala wa kuwahurumia yatima wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asiwepo mtu yeyote wa kumtendea mema wala wa kuwahurumia yatima wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asiwe na mtu wa kumfanyia fadhili, Wala mtu wa kuwahurumia yatima wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pasiwe na mtu wa kumwonea huruma, au Kuwatunza watoto wake yatima!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pasiwepo anayemwendea kwa upole, wala pasiwepo anayewahurumia watoto wake walioachwa peke yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asiwe na mtu wa kumfanyia fadhili, Wala mtu wa kuwahurumia yatima wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kusikuwe mutu wa kumutendea mema, au kuwatunza watoto wake wayatima!