Psalms 109:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazawa wake wote wafe; jina lake lisahauliwe katika kizazi kijacho!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uzao wake na ukatiliwe mbali, majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazao wake waangamizwe, Jina lao likafutwe katika kizazi cha pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazawa wake wote wafe; jina lake lisahauliwe katika kizazi kijacho!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uzao wake na ukatiliwe mbali, majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uzao wake na ukatiliwe mbali, majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazao wake waangamizwe, Jina lao likafutwe katika kizazi cha pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazawa wake wote wafe; jina lake lisahauliwe katika kizazi kijacho!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watoto, atakaowaacha, sharti waje kung'olewa, katika kizazi cha pili sharti jina lao litoweke!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazao wake waangamizwe, Jina lao likafutwe katika kizazi cha pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazao wake wote wakufe; jina lake lisahauliwe katika kizazi kinachokuja!