Psalms 109:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu aukumbuke uovu wa wazee wake, dhambi za mama yake zisifutwe kamwe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maovu ya baba zake na yakumbukwe mbele za Mwenyezi Mungu, dhambi ya mama yake isifutwe kamwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uovu wa baba zake ukumbukwe mbele za Bwana, Na dhambi ya mamaye isifutwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu aukumbuke uovu wa wazee wake, dhambi za mama yake zisifutwe kamwe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maovu ya baba zake na yakumbukwe mbele za BWANA, dhambi ya mama yake na isifutwe kamwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maovu ya baba zake na yakumbukwe mbele za bwana, dhambi ya mama yake isifutwe kamwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uovu wa baba zake ukumbukwe mbele za BWANA, Na dhambi ya mamaye isifutwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu aukumbuke uovu wa wazee wake, dhambi za mama yake zisifutwe kamwe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Manza, baba zake walizozikora na zikumbukwe kwake Bwana! Makosa ya mama yake yasifutwe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uovu wa baba zake ukumbukwe mbele za BWANA, Na dhambi ya mamaye isifutwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akumbuke uovu wa babu zake, zambi za mama yake zisifutwe hata kidogo!