Psalms 109:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu azikumbuke dhambi zao daima; lakini wao wenyewe wasahauliwe duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dhambi zao na zibaki daima mbele za Mwenyezi Mungu, ili apate kukatilia mbali kumbukumbu lao duniani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ziwe mbele za Bwana daima, Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu azikumbuke dhambi zao daima; lakini wao wenyewe wasahauliwe duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dhambi zao na zibaki daima mbele za BWANA, ili apate kukatilia mbali kumbukumbu lao duniani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dhambi zao na zibaki daima mbele za bwana, ili apate kukatilia mbali kumbukumbu lao duniani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ziwe mbele za BWANA daima, Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu azikumbuke dhambi zao daima; lakini wao wenyewe wasahauliwe duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
yawepo machoni pake Bwana siku zote! Aung'oe ukumbusho wao katika nchi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ziwe mbele za BWANA daima, Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akumbuke zambi zao siku zote; lakini wao wenyewe wasahauliwe katika dunia.