Psalms 109:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye alipenda kulaani watu, laana na impate yeye mwenyewe. Hakuwatakia wengine baraka, basi, asipate baraka yeye mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipenda kulaani, nayo laana ikampata; hakupenda kubariki, kwa hiyo baraka na ikae mbali naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alipenda kulaani, nako kukampata. Hakupendezwa na kubariki, kukawa mbali naye,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye alipenda kulaani watu, laana na impate yeye mwenyewe. Hakuwatakia wengine baraka, basi, asipate baraka yeye mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipenda kulaani, nayo laana ikampata; hakupenda kubariki, kwa hiyo baraka na ikae mbali naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipenda kulaani, nayo laana ikampata; hakupenda kubariki, kwa hiyo baraka na ikae mbali naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alipenda kulaani, nako kukampata. Hakupendezwa na kubariki, kukawa mbali naye,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye alipenda kulaani watu, laana na impate yeye mwenyewe. Hakuwatakia wengine baraka, basi, asipate baraka yeye mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Apizo, alilolipenda, na limjie mwenyewe! Kwa kuwa hakupendezwa na mbaraka, na imkalie mbali naye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alipenda kulaani, nako kukampata. Hakupendezwa na kubariki, kukawa mbali naye,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye alipenda kulaani watu; laana imupate yeye mwenyewe. Hakuwatakia wengine baraka; basi, asipate baraka yeye mwenyewe.