Psalms 109:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwake kulaani ni kama kuvaa nguo, basi, laana hizo zimloweshe kama maji, zimwingie mifupani mwake kama mafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alivaa kulaani kama vazi lake, nayo laana ikamwingia mwilini mwake kama maji, kwenye mifupa yake kama mafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alijivika laana kana kwamba ni vazi lake. Ikamwingilia moyoni kama maji, Na kama mafuta mifupani mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwake kulaani ni kama kuvaa nguo, basi, laana hizo zimloweshe kama maji, zimwingie mifupani mwake kama mafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alivaa kulaani kama vazi lake, nayo laana ikamwingia mwilini mwake kama maji, kwenye mifupa yake kama mafuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alivaa kulaani kama vazi lake, nayo laana ikamwingia mwilini mwake kama maji, kwenye mifupa yake kama mafuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alijivika laana kana kwamba ni vazi lake. Ikamwingilia moyoni kama maji, Na kama mafuta mifupani mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwake kulaani ni kama kuvaa nguo, basi, laana hizo zimloweshe kama maji, zimwingie mifupani mwake kama mafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajivika apizo, kama ni kanzu yake, likamwingia moyoni, kama ni maji, au kama ni kiini kilichomo katika mifupa yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alijivika laana kana kwamba ni vazi lake. Ikamwingilia moyoni kama maji, Na kama mafuta mifupani mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwake kulaani ni kama kuvaa nguo; basi, laana hizo zimulowanishe kama maji, zimwingie katika mifupa yake kama mafuta.