Psalms 109:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laana zimfunike kama nguo, zimzunguke daima kama ukanda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na iwe kama joho alilozungushiwa, kama mshipi aliofungiwa daima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na iwe kwake kama vazi ajivikalo, Na kama mshipi ajifungao daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laana zimfunike kama nguo, zimzunguke daima kama ukanda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na iwe kama joho alilozungushiwa, kama mshipi aliofungiwa daima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na iwe kama joho alilozungushiwa, kama mshipi aliofungiwa daima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na iwe kwake kama vazi ajivikalo, Na kama mshipi ajifungao daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laana zimfunike kama nguo, zimzunguke daima kama ukanda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na limwie kama vazi la kujifunika, au kama mshipi, anaojifunga siku zote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na iwe kwake kama vazi ajivikalo, Na kama mshipi ajifungao daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Laana zimufunike kama nguo, zimuzunguke siku zote kama mukaba.