Psalms 109:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu awalipe hayo hao watu wanaonishtaki, naam hao wanaosema mabaya dhidi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya na yawe malipo ya Mwenyezi Mungu kwa washtaki wangu, kwa wale wanaoninenea mabaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiyo malipo ya washitaki wangu toka kwa Bwana, Na ya hao wanaoisingizia nafsi yangu mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu awalipe hayo hao watu wanaonishtaki, naam hao wanaosema mabaya dhidi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya na yawe malipo ya BWANA kwa washtaki wangu, kwa wale wanaoninenea mabaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya na yawe malipo ya bwana kwa washtaki wangu, kwa wale wanaoninenea mabaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiyo malipo ya washitaki wangu toka kwa BWANA, Na ya hao wanaoisingizia nafsi yangu mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu awalipe hayo hao watu wanaonishtaki, naam hao wanaosema mabaya dhidi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo Bwana awalipishe wao wanipingiao, nao wanaoisingizia roho yangu kuwa yenye mabaya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiyo malipo ya washitaki wangu toka kwa BWANA, Na ya hao wanaoisingizia nafsi yangu mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe awalipe hayo hao watu wanaonishitaki, hao wanaosema mabaya juu yangu.