Psalms 109:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wangu, unitendee kadiri ya hisani yako; uniokoe, kwa sababu ya wema wa fadhili zako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wewe, Ee Bwana Mungu Mwenyezi, unitendee wema kwa ajili ya jina lako, uniokoe kwa wema wa pendo lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Wewe, MUNGU, Bwana, unitendee kwa ajili ya jina lako, Kwa kuwa fadhili zako ni njema uniokoe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wangu, unitendee kadiri ya hisani yako; uniokoe, kwa sababu ya wema wa fadhili zako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wewe, Ee BWANA Mwenyezi, unitendee wema kwa ajili ya jina lako, uniokoe kwa wema wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wewe, Ee bwana Mwenyezi, unitendee wema kwa ajili ya jina lako, uniokoe kwa wema wa pendo lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Wewe, MUNGU, Bwana, unitendee kwa ajili ya jina lako, Kwa kuwa fadhili zako ni njema uniokoe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wangu, unitendee kadiri ya hisani yako; uniokoe, kwa sababu ya wema wa fadhili zako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe Mungu, Bwana wangu, nifanyizie yalipasayo Jina lako! Kwa kuwa upole wako ni mwema, nipoe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Wewe, MUNGU, Bwana, unitendee kwa ajili ya jina lako, Kwa kuwa fadhili zako ni njema uniokoe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, ee Yawe, Bwana wangu, unitendee kwa heshima ya jina lako. Wema wako ni muzuri. Basi, uniokoe!