Psalms 109:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi ni maskini na fukara; nimejeruhiwa mpaka moyoni mwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maana mimi ni maskini na mhitaji, moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mimi ni mnyonge na mhitaji, Na moyo wangu umejeruhi ndani yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi ni maskini na fukara; nimejeruhiwa mpaka moyoni mwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maana mimi ni maskini na mhitaji, moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maana mimi ni maskini na mhitaji, moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mimi ni mnyonge na mhitaji, Na moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi ni maskini na fukara; nimejeruhiwa mpaka moyoni mwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mimi ni mnyonge hata mkiwa, nao moyo wangu humu kifuani mwangu umeumia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mimi ni mnyonge na mhitaji, Na moyo wangu umejeruhi ndani yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ni masikini na mukosefu; ninaumizwa mpaka ndani ya moyo wangu.