Psalms 109:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Magoti yangu yamenyongonyea kwa mfungo; nimebaki mifupa na ngozi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Magoti yangu yamelegea kwa kufunga, mwili wangu umedhoofika na kukonda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Magoti yangu yamedhoofu kwa kufunga, Na mwili wangu umekonda kwa kukosa mafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Magoti yangu yamenyong'onyea kwa mfungo; nimebaki mifupa na ngozi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Magoti yangu yamelegea kwa kufunga, mwili wangu umedhoofika na kukonda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Magoti yangu yamelegea kwa kufunga, mwili wangu umedhoofika na kukonda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Magoti yangu yamedhoofu kwa kufunga, Na mwili wangu umekonda kwa kukosa mafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Magoti yangu yamenyongonyea kwa mfungo; nimebaki mifupa na ngozi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Magoti yangu yamelegea kwa kufunga mifungo, nyama za mwili wangu zimekonda, hazina mafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Magoti yangu yamedhoofu kwa kufunga, Na mwili wangu umekonda kwa kukosa mafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Magoti yangu yanaregea kwa ajili ya kufunga kula chakula; nimebaki mifupa na ngozi.