Psalms 109:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimekuwa dhihaka tupu kwa watu; wanionapo hutikisa vichwa vyao kwa dharau.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimekuwa kitu cha kudharauliwa kwa washtaki wangu, wanionapo, hutikisa vichwa vyao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nalikuwa laumu kwao, Wanionapo hutikisa vichwa vyao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimekuwa dhihaka tupu kwa watu; wanionapo hutikisa vichwa vyao kwa dharau.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimekuwa kitu cha kudharauliwa kwa washtaki wangu, wanionapo, hutikisa vichwa vyao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimekuwa kitu cha kudharauliwa kwa washtaki wangu, wanionapo, hutikisa vichwa vyao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nimekuwa wa kudharauliwa na watu, Wanionapo hutikisa vichwa vyao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimekuwa dhihaka tupu kwa watu; wanionapo hutikisa vichwa vyao kwa dharau.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mimi nimekuwa kwao mtu wa kumsimanga, wanaponiona huvitingisha vichwa vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nalikuwa laumu kwao, Wanionapo hutikisa vichwa vyao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wananichekelea; wanaponiona wanatikisa vichwa vyao kwa kunizarau.