Psalms 109:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unisaidie, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu; uniokoe kadiri ya fadhili zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, nisaidie, niokoe sawasawa na upendo wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, Mungu wangu, unisaidie, Uniokoe sawasawa na fadhili zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unisaidie, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu; uniokoe kadiri ya fadhili zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, Mungu wangu nisaidie, niokoe sawasawa na upendo wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, Mungu wangu nisaidie, niokoe sawasawa na upendo wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, Mungu wangu, unisaidie, Uniokoe kulingana na fadhili zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unisaidie, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu; uniokoe kadiri ya fadhili zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nisaidie Bwana, Mungu wangu! Niokoe kwa upole wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, Mungu wangu, unisaidie, Uniokoe sawasawa na fadhili zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unisaidie, ee Yawe, Mungu wangu; uniokoe kufuatana na wema wako.