Psalms 109:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waoneshe watu kuwa ndiwe uliyetenda hayo, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe uliyefanya hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu na wafahamu kuwa ni mkono wako, kwamba wewe, Ee Mwenyezi Mungu, umetenda hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakajue ya kuwa ndio mkono wako; Wewe, Bwana, umeyafanya hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waoneshe watu kuwa ndiwe uliyetenda hayo, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe uliyefanya hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu na wafahamu kuwa ni mkono wako, kwamba wewe, Ee BWANA, umetenda hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu na wafahamu kuwa ni mkono wako, kwamba wewe, Ee bwana, umetenda hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakajue ya kuwa huu ni mkono wako; Wewe, BWANA, umeyafanya hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waoneshe watu kuwa ndiwe uliyetenda hayo, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe uliyefanya hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watakapoujua mkono wako, ya kuwa ndio, tena watajua, ya kuwa umeyafanya, wewe Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakajue ya kuwa ndio mkono wako; Wewe, BWANA, umeyafanya hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaonyeshe watu kuwa wewe ndiwe uliyetenda hayo. Wewe, ee Yawe, ndiwe uliyefanya hivyo.