Psalms 109:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waache walaani, lakini wewe unibariki; wanaonishambulia waaibike, nami mtumishi wako nifurahi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaweza kulaani, lakini wewe utabariki, watakaposhambulia wataaibishwa, lakini mtumishi wako atashangilia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wao walaani, bali Wewe utabariki, Wameondoka wao wakaaibishwa, Bali mtumishi wako atafurahi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waache walaani, lakini wewe unibariki; wanaonishambulia waaibike, nami mtumishi wako nifurahi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaweza kulaani, lakini wewe utabariki, watakaposhambulia wataaibishwa, lakini mtumishi wako atashangilia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaweza kulaani, lakini wewe utabariki, watakaposhambulia wataaibishwa, lakini mtumishi wako atashangilia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waache walaani, bali Wewe utabariki, Wanaonishambulia na waaibishwe, Naye mtumishi wako afurahi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waache walaani, lakini wewe unibariki; wanaonishambulia waaibike, nami mtumishi wako nifurahi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao na waapize! Nawe na ubariki! Wakiinuka na wapatwe na soni, mtumishi wako afurahi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wao walaani, bali Wewe utabariki, Wameondoka wao wakaaibishwa, Bali mtumishi wako atafurahi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaache walaani, lakini wewe unibariki; wanaonishambulia wafezeheke, nami mutumishi wako nifurahi.