Psalms 109:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui zangu na wavishwe fedheha; wajifunike aibu yao kama blanketi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Washtaki wangu watavikwa fedheha, na kufunikwa na aibu kama joho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Washitaki wangu watavikwa fedheha, Watajivika aibu yao kama joho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui zangu na wavishwe fedheha; wajifunike aibu yao kama blanketi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Washtaki wangu watavikwa fedheha, na kufunikwa na aibu kama joho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Washtaki wangu watavikwa fedheha, na kufunikwa na aibu kama joho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Washitaki wangu watavikwa fedheha, Na wavikwe aibu yao kama joho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui zangu na wavishwe fedheha; wajifunike aibu yao kama blanketi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti wavikwe mabezo wao wanipingiao, soni zao ziwafunika kama nguo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Washitaki wangu watavikwa fedheha, Watajivika aibu yao kama joho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui zangu wazungukwe na mazarau; wajifunike haya yao kama vile nguo.