Psalms 109:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanasema maovu juu yangu, na kunishambulia bila kisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamenizunguka kwa maneno ya chuki, wananishambulia bila sababu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, kwa maneno ya chuki wamenizunguka, Wamepigana nami bure.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanasema maovu juu yangu, na kunishambulia bila kisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wamenizunguka kwa maneno ya chuki, wananishambulia bila sababu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamenizunguka kwa maneno ya chuki, wananishambulia bila sababu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, kwa maneno ya chuki wamenizunguka, Wamepigana nami bure.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanasema maovu juu yangu, na kunishambulia bila kisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maneno yenye machukivu yakanizunguka; lakini wakinigombeza hivyo, hakuna sababu yo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, kwa maneno ya chuki wamenizunguka, Wamepigana nami bure.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanasema maovu juu yangu, na kunishambulia bila sababu.