Psalms 109:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitamshukuru sana Mwenyezi-Mungu kwa sauti; nitamsifu kati ya kundi kubwa la watu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kinywa changu nitamtukuza sana Mwenyezi Mungu, katika umati mkubwa nitamsifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitamshukuru Bwana kwa kinywa changu, Naam, nitamsifu katikati ya mkutano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamshukuru sana Mwenyezi-Mungu kwa sauti; nitamsifu kati ya kundi kubwa la watu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kinywa changu nitamtukuza sana BWANA katika umati mkubwa nitamsifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kinywa changu nitamtukuza sana bwana, katika umati mkubwa nitamsifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitamshukuru BWANA kwa kinywa changu, Naam, nitamsifu katikati ya mkutano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamshukuru sana Mwenyezi-Mungu kwa sauti; nitamsifu kati ya kundi kubwa la watu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na nimshukuru Bwana sanasana kwa kinywa changu! Kwenye watu wengi na nimshangilie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitamshukuru BWANA kwa kinywa changu, Naam, nitamsifu katikati ya mkutano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamushukuru sana Yawe kwa sauti; nitamusifu kati ya kundi kubwa la watu,