Psalms 109:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa maana yeye humtetea maskini, humwokoa wakati anapohukumiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana husimama mkono wa kuume wa mhitaji, kuokoa maisha yake kutoka kwa wale wanaomhukumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana atasimama mkono wa kuume wa mhitaji Amwokoe na wanaoihukumu nafsi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa maana yeye humtetea maskini, humwokoa wakati anapohukumiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana husimama mkono wa kuume wa mhitaji, kuokoa maisha yake kutoka kwa wale wanaomhukumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana husimama mkono wa kuume wa mhitaji, kuokoa maisha yake kutoka kwa wale wanaomhukumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana atasimama mkono wa kuume wa mhitaji Amwokoe kutoka kwa wanaoihukumu nafsi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa maana yeye humtetea maskini, humwokoa wakati anapohukumiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani aliye mkiwa humsimamia kuumeni kwake, amwokoe mikononi mwao waliompatiliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana atasimama mkono wa kuume wa mhitaji Amwokoe na wanaoihukumu nafsi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa maana yeye anamutetea mukosefu, kwa kumwokoa kutoka kwa wale wanaomuhukumu kufa.