Psalms 109:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wananilipa uovu kwa wema wangu, na chuki kwa mapendo yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wananilipiza mabaya kwa mema, chuki badala ya urafiki wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamenichukuza mabaya badala ya mema, Na chuki badala ya upendo wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wananilipa uovu kwa wema wangu, na chuki kwa mapendo yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wananilipiza baya kwa jema, chuki badala ya urafiki wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wananilipiza mabaya kwa mema, chuki badala ya urafiki wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamenilipa mabaya kwa mema yangu, Na chuki badala ya upendo wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wananilipa uovu kwa wema wangu, na chuki kwa mapendo yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli kwa mema, niliyowafanyizia, wananirudishia mabaya, kwa upendo wangu wananirudishia uchukivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamenichukuza mabaya badala ya mema, Na chuki badala ya upendo wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wananilipa mabaya kwa mazuri yangu, na chuki kwa mapendo yangu.