Psalms 109:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umweke hakimu mbaya dhidi ya adui yangu; na mshtaki wake ampeleke mahakamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Agiza mtu mwovu ampinge, mshtaki asimame mkono wake wa kuume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uweke mtu mkorofi juu yake, Mshitaki asimame mkono wake wa kuume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umweke hakimu mbaya dhidi ya adui yangu; na mshtaki wake ampeleke mahakamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Agiza mtu mwovu ampinge, mshtaki na asimame mkono wake wa kuume.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Agiza mtu mwovu ampinge, mshtaki asimame mkono wake wa kuume.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umweke mtu mkorofi juu yake, Mshitaki na asimame kulia kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umweke hakimu mbaya dhidi ya adui yangu; na mshtaki wake ampeleke mahakamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Weka mtu asiyekucha, amwangalie aliye hivyo! Satani mwenyewe amsimamie kuumeni kwake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uweke mtu mkorofi juu yake, Mshitaki asimame mkono wake wa kuume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umuweke mwamuzi mubaya juu ya adui yangu; na anayemushitaki amupeleke mbele ya baraza.