Psalms 109:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anapohukumiwa apatikane na hatia; lalamiko lake lihesabiwe kuwa kosa jingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anapohukumiwa, apatikane na hatia, nayo maombi yake yamhukumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika kuhukumiwa ataonekana hana haki, Na sala yake itadhaniwa kuwa ni dhambi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anapohukumiwa apatikane na hatia; lalamiko lake lihesabiwe kuwa kosa jingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anapohukumiwa na apatikane na hatia, nayo maombi yake na yamhukumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anapohukumiwa, apatikane na hatia, nayo maombi yake yamhukumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika kuhukumiwa ataonekana hana haki, Na sala yake itadhaniwa kuwa ni dhambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anapohukumiwa apatikane na hatia; lalamiko lake lihesabiwe kuwa kosa jingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye hukumu sharti atokezwe kuwa mwenye kushindwa, nako kuomba kwake sharti kuwaziwe kuwa kukosa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika kuhukumiwa ataonekana hana haki, Na sala yake itadhaniwa kuwa ni dhambi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anapohukumiwa apatikane na kosa; malalamiko yake yahesabiwe kuwa kosa lingine.