Psalms 109:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku za maisha yake ziwe chache, mtu mwingine na achukue kazi yake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku zake za kuishi na ziwe chache, nafasi yake ya uongozi ichukuliwe na mtu mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zake na ziwe chache, Usimamizi wake na atwae mtu mwingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku za maisha yake ziwe chache, mtu mwingine na achukue kazi yake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku zake za kuishi na ziwe chache, uongozi wake na apewe mtu mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku zake za kuishi na ziwe chache, nafasi yake ya uongozi ichukuliwe na mtu mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zake na ziwe chache, Usimamizi wake na atwae mtu mwingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku za maisha yake ziwe chache, mtu mwingine na achukue kazi yake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zake na zifupizwe kuwa chache! Mtu mwingine na autwae ukaguzi wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zake na ziwe chache, Usimamizi wake na atwae mtu mwingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku za maisha yake zikuwe chache, mutu mwingine akamate kazi yake!