Psalms 11:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) Kwake Mwenyezi-Mungu nakimbilia usalama; mnawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege, mpaka milimani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa Mwenyezi Mungu ninakimbilia. Unawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege utorokee kwenye mlima wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ndiye niliyemkimbilia. Mbona mnaiambia nafsi yangu, Kimbia kama ndege mlimani kwenu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwake Mwenyezi-Mungu nakimbilia usalama; mnawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege, mpaka milimani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) Kwa BWANA ninakimbilia, unawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege kwenye mlima wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa bwana ninakimbilia, unawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege kwenye mlima wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ndiye niliyemkimbilia. Mbona mnaiambia nafsi yangu, Kimbia kama ndege mlimani kwenu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwake Mwenyezi-Mungu nakimbilia usalama; mnawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege, mpaka milimani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ndiye, nimkimbiliaye, nanyi mnaiambiaje roho yangu: Rukia mlimani kama ndege?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ndiye niliyemkimbilia. Mbona mnaiambia nafsi yangu, Kimbia kama ndege mlimani kwenu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi. Yawe ni kimbilio langu; namna gani basi munaweza kuniambia: “Ruka kama ndege, mpaka kwenye milima,