Psalms 11:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huwapima waadilifu na waovu; huwachukia kabisa watu wakatili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huwachunguza wenye haki, lakini nafsi yake inachukia waovu na wale wanaopenda mapigano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana humjaribu mwenye haki; Bali nafsi yake humchukia asiye haki, Na mwenye kupenda udhalimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huwapima waadilifu na waovu; huwachukia kabisa watu wakatili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huwajaribu wenye haki, lakini waovu na wale wanaopenda jeuri nafsi yake huwachukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huwajaribu wenye haki, lakini waovu na wanaopenda jeuri, nafsi yake huwachukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA humjaribu mwenye haki; Bali nafsi yake humchukia asiye haki, Na mwenye kupenda udhalimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huwapima waadilifu na waovu; huwachukia kabisa watu wakatili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana humjaribu naye mwongofu, roho yake humchukia asiyemcha naye apendaye ukorofi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA humjaribu mwenye haki; Bali nafsi yake humchukia asiye haki, Na mwenye kupenda udhalimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawapima watu wa haki na waovu; anawachukia wanaopenda kutesa kwa ukali.