Psalms 11:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atawanyeshea waovu makaa ya moto na madini ya kiberiti; upepo wa hari utakuwa ndio adhabu yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atawanyeshea waovu makaa ya moto mkali na kiberiti kinachowaka; upepo wenye joto kali ndio fungu lao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Awanyeshee wasio haki mitego, Moto na kiberiti na upepo wa hari, Na viwe fungu la kikombe chao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atawanyeshea waovu makaa ya moto na madini ya kiberiti; upepo wa hari utakuwa ndio adhabu yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Juu ya waovu atawanyeshea makaa ya moto mkali na kiberiti kinachowaka, upepo wenye joto kali ndio fungu lao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atawanyeshea waovu makaa ya moto mkali na kiberiti kinachowaka, upepo wenye joto kali ndio fungu lao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Awanyeshee wasio haki mitego, Moto na kiberiti na upepo wa joto Na viwe fungu la kikombe chao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atawanyeshea waovu makaa ya moto na madini ya kiberiti; upepo wa hari utakuwa ndio adhabu yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atawanyeshea matanzi wao wasiomcha, tena mvua za moto na za viberitiberiti, nao upepo wa kuchoma moto ndio kinywaji, watakachogawiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Awanyeshee wasio haki mitego, Moto na kiberiti na upepo wa hari, Na viwe fungu la kikombe chao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atawanyeshea waovu makaa ya moto na kiberiti; upepo mukali utakuwa ndio azabu yao.