Psalms 11:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu na apenda uadilifu; watu wanyofu watakaa pamoja naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mwenye haki, yeye hupenda haki. Wanyofu watauona uso wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana ndiye mwenye haki, Apenda matendo ya haki, Wanyofu wa moyo watamwona uso wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu na apenda uadilifu; watu wanyofu watakaa pamoja naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa BWANA ni mwenye haki, hupenda haki; watu wanyofu watauona uso wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa bwana ni mwenye haki, yeye hupenda haki. Wanyofu watauona uso wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA ni mwenye haki, Apenda matendo ya haki, Wanyofu wa moyo watauona uso wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu na apenda uadilifu; watu wanyofu watakaa pamoja naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana ni mwongofu, hupenda yaongokayo; kwa hiyo anyokaye moyo atauona uso wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA ndiye mwenye haki, Apenda matendo ya haki, Wanyofu wa moyo watamwona uso wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni wa haki na anapenda watu watende kwa haki. Watu wa usawa wataona uso wake.