Psalms 110:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ataeneza enzi yako kutoka Siyoni; utatawala juu ya maadui zako wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ataeneza fimbo yako ya utawala yenye nguvu kutoka Sayuni; utatawala katikati ya adui zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana atainyosha toka Sayuni Fimbo ya nguvu zako. Uwe na enzi kati ya adui zako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ataeneza enzi yako kutoka Siyoni; utatawala juu ya maadui zako wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ataeneza fimbo yako ya utawala yenye nguvu kutoka Sayuni; utatawala katikati ya adui zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ataeneza fimbo yako ya utawala yenye nguvu kutoka Sayuni; utatawala katikati ya adui zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA atainyosha toka Sayuni Fimbo ya nguvu zako. Uwe na enzi kati ya adui zako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ataeneza enzi yako kutoka Siyoni; utatawala juu ya maadui zako wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bakora yako ya kifalme yenye nguvu Bwana ataituma toka Sioni: Katikati ya adui zako tawala wewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA atainyosha toka Sayuni Fimbo ya nguvu zako. Uwe na enzi kati ya adui zako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ataeneza mamlaka yako kutoka Sayuni; utatawala juu ya waadui zako wote.