Psalms 110:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wako watakujia kwa hiari, siku utakapokwenda kuwapiga maadui. Juu ya milima mitakatifu watakujia vijana wako, kama umande unaotokeza alfajiri mapema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Askari wako watajitolea kwa hiari katika siku yako ya vita. Ukiwa umevikwa fahari takatifu, kutoka tumbo la mapambazuko utapokea umande wa ujana wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wako wanajitoa kwa hiari, Siku ya uwezo wako; Kwa uzuri wa utakatifu, Tokea tumbo la asubuhi, Unao umande wa ujana wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wako watakujia kwa hiari, siku utakapokwenda kuwapiga maadui. Juu ya milima mitakatifu watakujia vijana wako, kama umande unaotokeza alfajiri mapema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Askari wako watajitolea kwa moyo katika siku yako ya vita. Ukiwa umevikwa fahari takatifu, kutoka kwenye tumbo la mapambazuko utapokea umande wa ujana wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Askari wako watajitolea kwa hiari katika siku yako ya vita. Ukiwa umevikwa fahari takatifu, kutoka tumbo la mapambazuko utapokea umande wa ujana wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wako watajitoa kwa hiari, Siku ya uwezo wako; Kwa uzuri wa utakatifu, Tokea tumbo la asubuhi, Unao umande wa ujana wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wako watakujia kwa hiari, siku utakapokwenda kuwapiga maadui. Juu ya milima mitakatifu watakujia vijana wako, kama umande unaotokeza alfajiri mapema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio ukoo wako watakutokea kwa kupenda wenyewe siku iyo hiyo, utakapokwenda vitani; hapo watakuwa wamevaa mapambo yapasayo Patakatifu. Wana wako watazaliwa, kama umande unavyozaliwa asubuhi mapema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wako wanajitoa kwa hiari, Siku ya uwezo wako; Kwa uzuri wa utakatifu, Tokea tumbo la asubuhi, Unao umande wa ujana wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wako watajitolea, siku utakapokwenda kuwapiga waadui. Juu ya milima mitakatifu vijana wako watakufikia, kama umande unaotokeza asubui mapema.