Psalms 110:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu amekuapia wala hatabadili nia yake: “Wewe ni kuhani milele kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ameapa, naye hatabadilisha mawazo yake: “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ameapa, Wala hataghairi, Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu amekuapia wala hatabadili nia yake: “Wewe ni kuhani milele kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ameapa, naye hatabadilisha mawazo yake: “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ameapa, naye hatabadilisha mawazo yake: “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ameapa, Wala hataghairi, Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu amekuapia wala hatabadili nia yake: “Wewe ni kuhani milele kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana aliapa, naye hatajuta: Wewe u mtambikaji wa kale na kale, kama Melkisedeki alivyokuwa.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ameapa, Wala hataghairi, Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe amekuapia hivi wala hatabadilisha nia yake: “Wewe ni kuhani milele kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”