Psalms 110:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana yuko upande wako wa kulia; atawaponda wafalme atakapokasirika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bwana yuko mkono wako wa kuume, atawaponda wafalme siku ya ghadhabu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana yu mkono wako wa kuume; Ataseta wafalme, Siku ya ghadhabu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana yuko upande wako wa kulia; atawaponda wafalme atakapokasirika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bwana yuko mkono wako wa kuume, atawaponda wafalme siku ya ghadhabu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bwana yuko mkono wako wa kuume, atawaponda wafalme siku ya ghadhabu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana yu mkono wako wa kuume; Atawaponda wafalme, Siku ya ghadhabu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana yuko upande wako wa kulia; atawaponda wafalme atakapokasirika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana alioko kuumeni kwako atawaponda wafalme; itakuwa siku hiyo, makali yake yatakapotokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana yu mkono wako wa kuume; Ataseta wafalme, Siku ya ghadhabu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bwana wetu yuko karibu nawe; atawaponda wafalme atakapokasirika.