Psalms 110:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atayahukumu mataifa na kuwaua watu wengi; atawaponda viongozi kila mahali duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atawahukumu mataifa, akilundika mizoga na kuwaponda watawala wa dunia nzima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atahukumu kati ya mataifa, Ataijaza nchi mizoga; Ataseta kichwa katika nchi nyingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atayahukumu mataifa na kuwaua watu wengi; atawaponda viongozi kila mahali duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atawahukumu mataifa, akilundika mizoga na kuwaponda watawala wa dunia nzima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atawahukumu mataifa, akilundika mizoga na kuwaponda watawala wa dunia nzima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atahukumu kati ya mataifa, Ataijaza nchi mizoga; Atawaponda wakuu katika nchi nyingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atayahukumu mataifa na kuwaua watu wengi; atawaponda viongozi kila mahali duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakapohukumu kwenye wamizimu, ndipo, mizoga yao itakapojaa, akiwaponda vichwa mahali palipo papana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atahukumu kati ya mataifa, Ataijaza nchi mizoga; Ataseta kichwa katika nchi nyingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atayahukumu mataifa na kuwaua watu wengi; atawaponda waongozi kila nafasi katika dunia.