Psalms 110:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme atakunywa maji ya kijito njiani; naye atainua kichwa juu kwa ushindi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakunywa maji katika kijito kando ya njia; kwa hiyo atainua kichwa chake juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atakunywa maji ya mto njiani; Kwa hiyo atakiinua kichwa chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme atakunywa maji ya kijito njiani; naye atainua kichwa juu kwa ushindi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakunywa maji katika kijito kando ya njia, kwa hiyo atainua kichwa chake juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakunywa maji katika kijito kando ya njia, kwa hiyo atainua kichwa chake juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atakunywa maji ya mto njiani; Kwa hiyo atakiinua kichwa chake kwa ushindi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme atakunywa maji ya kijito njiani; naye atainua kichwa juu kwa ushindi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakunywa maji ya mtoni huko njiani, kwa hiyo atakiinua kichwa chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakunywa maji ya mto njiani; Kwa hiyo atakiinua kichwa chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme atakunywa maji ya kijito katika njia, kisha atainua kichwa kwa ushindi.