Psalms 111:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa hekima; wote wanaozitii amri zake hujaliwa busara. Sifa zake zadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumcha Mwenyezi Mungu ndicho chanzo cha hekima, wote wanaozifuata amri zake wana busara. Sifa zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kumcha Bwana ndio mwanzo wa hekima, Wote wafanyao hayo wana akili njema, Sifa zake zakaa milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa hekima; wote wanaozitii amri zake hujaliwa busara. Sifa zake zadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumcha BWANA ndicho chanzo cha hekima, wote wanaozifuata amri zake wana busara. Sifa zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumcha bwana ndicho chanzo cha hekima, wote wanaozifuata amri zake wana busara. Sifa zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kumcha BWANA ndio mwanzo wa hekima, Wote wafanyao hayo wana ufahamu mzuri, Sifa zake zadumu milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa hekima; wote wanaozitii amri zake hujaliwa busara. Sifa zake zadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumcha Bwana ndio mwanzo wa werevu wa kweli; huu ndio utambuzi mwema kwao wote wafanyao hivyo. Matukuzo yake husimama kale na kale.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kumcha BWANA ndio mwanzo wa hekima, Wote wafanyao hayo wana akili njema, Sifa zake zakaa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumwogopa Yawe ni musingi wa hekima; wote wanaotii amri zake wanajaliwa akili. Sifa zake zinadumu milele.