Psalms 111:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matendo ya Mwenyezi-Mungu ni makuu mno! Wote wanaoyafurahia huyatafakari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kazi za Mwenyezi Mungu ni kuu, wote wanaopendezwa nazo huzitafakari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matendo ya Bwana ni makuu, Yafikiriwa sana na wapendezwao nayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matendo ya Mwenyezi-Mungu ni makuu mno! Wote wanaoyafurahia huyatafakari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kazi za BWANA ni kuu, wote wanaopendezwa nazo huzitafakari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kazi za bwana ni kuu, wote wanaopendezwa nazo huzitafakari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matendo ya BWANA ni makuu, Yafikiriwa sana na wapendezwao nayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matendo ya Mwenyezi-Mungu ni makuu mno! Wote wanaoyafurahia huyatafakari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matendo yake Bwana ni makubwa, yanachunguzika kwao wote wapendezwao nayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matendo ya BWANA ni makuu, Yafikiriwa sana na wapendezwao nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matendo ya Yawe ni makubwa sana! Wote wanaoyafurahia wanayachunguza.