Psalms 111:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila afanyacho kimejaa utukufu na fahari; uadilifu wake wadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, haki yake hudumu daima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kazi yake ni heshima na adhama, Na haki yake yakaa milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila afanyacho kimejaa utukufu na fahari; uadilifu wake wadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, haki yake hudumu daima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, haki yake hudumu daima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kazi yake imejaa heshima na adhama, Na haki yake yadumu milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila afanyacho kimejaa utukufu na fahari; uadilifu wake wadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kazi zenye urembo na utukufu ndizo zake, wongofu wake husimama kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kazi yake ni heshima na adhama, Na haki yake yakaa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila anachofanya kimejaa utukufu na heshima; haki yake inadumu milele.