Psalms 111:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amesababisha matendo yake ya ajabu yakumbukwe; Mwenyezi-Mungu ni mwema na mwenye huruma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amefanya maajabu yake yakumbukwe, Mwenyezi Mungu ni mwenye neema na huruma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu; Bwana ni mwenye fadhili na rehema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amesababisha matendo yake ya ajabu yakumbukwe; Mwenyezi-Mungu ni mwema na mwenye huruma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amefanya maajabu yake yakumbukwe, BWANA ni mwenye neema na huruma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amefanya maajabu yake yakumbukwe, bwana ni mwenye neema na huruma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu; BWANA ni mwenye fadhili na rehema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amesababisha matendo yake ya ajabu yakumbukwe; Mwenyezi-Mungu ni mwema na mwenye huruma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alifanya ukumbusho wa vioja vyake, yeye Bwana aliye mwenye utu na mwenye huruma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu; BWANA ni mwenye fadhili na rehema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amesababisha matendo yake ya ajabu yakumbukwe; Yawe ni mwenye huruma na rehema.