Psalms 111:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwapa chakula wenye kumcha; hasahau kamwe agano lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwapa chakula wale wanaomcha, hulikumbuka agano lake milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amewapa wamchao chakula; Atalikumbuka agano lake milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwapa chakula wenye kumcha; hasahau kamwe agano lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwapa chakula wale wanaomcha, hulikumbuka Agano lake milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwapa chakula wale wanaomcha, hulikumbuka agano lake milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amewapa wamchao chakula; Atalikumbuka agano lake milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwapa chakula wenye kumcha; hasahau kamwe agano lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huwapa vilaji wao wamwogopao, Agano lake hulikumbuka kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amewapa wamchao chakula; Atalikumbuka agano lake milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anawapa chakula wenye kumwabudu; hasahau hata kidogo agano lake.