Psalms 111:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amewaonesha watu wake nguvu ya matendo yake, amewapa nchi za mataifa mengine ziwe mali yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amewaonesha watu wake uwezo wa kazi zake, akiwapa nchi za mataifa mengine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amewajulisha watu wake uwezo wa matendo yake, Kwa kuwapa urithi wa mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amewaonesha watu wake nguvu ya matendo yake, amewapa nchi za mataifa mengine ziwe mali yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amewaonyesha watu wake uwezo wa kazi zake, akiwapa nchi za mataifa mengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amewaonyesha watu wake uwezo wa kazi zake, akiwapa nchi za mataifa mengine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amewajulisha watu wake uwezo wa matendo yake, Kwa kuwapa urithi wa mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amewaonesha watu wake nguvu ya matendo yake, amewapa nchi za mataifa mengine ziwe mali yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matendo yake yenye nguvu huyatangazia walio ukoo wake, awape nao urithi uliokuwa wao wamizimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amewajulisha watu wake uwezo wa matendo yake, Kwa kuwapa urithi wa mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amewaonyesha watu wake nguvu ya matendo yake, amewapa inchi za mataifa mengine zikuwe mali yao.