Psalms 111:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matendo yake ni ya haki na ya kuaminika; kanuni zake zote ni za kutegemewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki, mausia yake yote ni ya kuaminika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matendo ya mikono yake ni kweli na hukumu, Maagizo yake yote ni amini,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matendo yake ni ya haki na ya kuaminika; kanuni zake zote ni za kutegemewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki, mausia yake yote ni ya kuaminika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki, mausia yake yote ni ya kuaminika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matendo ya mikono yake ni kweli na hukumu, Maagizo yake yote ni amini,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matendo yake ni ya haki na ya kuaminika; kanuni zake zote ni za kutegemewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matendo ya mikono yake ni yenye welekevu na yenye wongofu, maagizo yake yote yanategemeka,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matendo ya mikono yake ni kweli na hukumu, Maagizo yake yote ni amini,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matendo yake ni ya haki na ya kuaminika; kanuni zake zote ni za kutegemewa siku zote.