Psalms 111:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amri zake zadumu daima na milele; zimetolewa kwa haki na uadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zinadumu milele na milele, zikifanyika kwa uaminifu na unyofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yamethibitika milele na milele, Yamefanywa katika kweli na adili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amri zake zadumu daima na milele; zimetolewa kwa haki na uadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zinadumu milele na milele, zikifanyika kwa uaminifu na unyofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zinadumu milele na milele, zikifanyika kwa uaminifu na unyofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yamethibitika milele na milele, Yamefanywa kwa uaminifu na haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amri zake zadumu daima na milele; zimetolewa kwa haki na uadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
maana yalishikizwa kuwa ya kale na kale, hufanyizwa kwa welekevu na kwa unyofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yamethibitika milele na milele, Yamefanywa katika kweli na adili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amri zake zinadumu milele; zimetolewa kwa uaminifu na usawa.