Psalms 111:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwakomboa watu wake na kufanya nao agano la milele. Yeye ni mtakatifu na wa kutisha mno!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliwapa watu wake ukombozi, aliamuru agano lake milele: jina lake ni takatifu na la kuogopwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amewapelekea watu wake ukombozi, Ameamuru agano lake liwe la milele, Jina lake ni takatifu la kuogopwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwakomboa watu wake na kufanya nao agano la milele. Yeye ni mtakatifu na wa kutisha mno!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliwapa watu wake ukombozi, aliamuru Agano lake milele, jina lake ni takatifu na la kuogopwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliwapa watu wake ukombozi, aliamuru agano lake milele: jina lake ni takatifu na la kuogopwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amewapelekea watu wake ukombozi, Ameamuru agano lake liwe la milele, Jina lake ni takatifu na la kuogopwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwakomboa watu wake na kufanya nao agano la milele. Yeye ni mtakatifu na wa kutisha mno!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio ukoo wake aliwapatia ukombozi, akaagiza, Agano lake liwepo kale na kale. Jina lake ni takatifu, linaogopesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amewapelekea watu wake ukombozi, Ameamuru agano lake liwe la milele, Jina lake ni takatifu la kuogopwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwakomboa watu wake na kufanya nao agano la milele. Yeye ni mutakatifu na wa kutisha sana!