Psalms 112:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Heri mtu anayemcha Mwenyezi-Mungu, anayefurahia sana kutii amri zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu. Heri mtu yule amchaye Mwenyezi Mungu, mtu yule apendezwaye sana na amri zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haleluya. Heri mtu yule amchaye Bwana, Apendezwaye sana na maagizo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Heri mtu anayemcha Mwenyezi-Mungu, anayefurahia sana kutii amri zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA. Heri mtu yule amchaye BWANA, mtu yule apendezwaye sana na amri zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana. Heri mtu yule amchaye bwana, mtu yule apendezwaye sana na amri zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haleluya. Heri mtu yule amchaye BWANA, Apendezwaye sana na maagizo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Heri mtu anayemcha Mwenyezi-Mungu, anayefurahia sana kutii amri zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haleluya! Mwenye shangwe ni mtu amwogopaye Bwana, apendezwaye sana na maagizo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haleluya. Heri mtu yule amchaye BWANA, Apendezwaye sana na maagizo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haleluia! Heri mutu anayemuheshimu Yawe, anayefurahia sana kushika amri zake.