Psalms 112:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyumbani kwake kutakuwa na mali nyingi; uadilifu wake wadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyumbani mwake kuna mali na utajiri, haki yake hudumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyumbani mwake mna utajiri na mali, Na haki yake yakaa milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyumbani kwake kutakuwa na mali nyingi; uadilifu wake wadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyumbani mwake kuna mali na utajiri, haki yake hudumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyumbani mwake kuna mali na utajiri, haki yake hudumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyumbani mwake mna utajiri na mali, Na haki yake yadumu milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyumbani kwake kutakuwa na mali nyingi; uadilifu wake wadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malimbiko ya mali yamo nyumbani mwake, nao wongofu wake husimama kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyumbani mwake mna utajiri na mali, Na haki yake yakaa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndani ya nyumba yake kutakuwa mali nyingi; haki yake utadumu milele.