Psalms 112:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu mwema huangaziwa mwanga gizani; mtu mwenye huruma, mpole na mwadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata gizani nuru humzukia mtu mwadilifu, yule mwenye rehema, huruma na haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nuru huwazukia wenye adili gizani; Ana fadhili na huruma na haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu mwema huangaziwa mwanga gizani; mtu mwenye huruma, mpole na mwadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata gizani nuru humzukia mtu mwadilifu, yule mwenye rehema, huruma na haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata gizani nuru humzukia mtu mwadilifu, yule mwenye rehema, huruma na haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nuru huwaangaza wenye adili gizani; Ana fadhili na huruma na haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu mwema huangaziwa mwanga gizani; mtu mwenye huruma, mpole na mwadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Penye giza mwanga huwazukia wanyokao mioyo, ndio wenye utu na huruma nao wenye wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nuru huwazukia wenye adili gizani; Ana fadhili na huruma na haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu wa usawa anaangaziwa mwangaza katika giza; yeye ni mwenye huruma, rehema, na haki.