Psalms 112:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwadilifu hatashindwa kamwe, huyo atakumbukwa milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika hatatikisika kamwe, mtu mwenye haki atakumbukwa milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana hataondoshwa kamwe; Mwenye haki atakumbukwa milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwadilifu hatashindwa kamwe, huyo atakumbukwa milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika hatatikisika kamwe, mtu mwenye haki atakumbukwa milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika hatatikisika kamwe, mtu mwenye haki atakumbukwa milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana hataondoshwa kamwe; Mwenye haki atakumbukwa milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwadilifu hatashindwa kamwe, huyo atakumbukwa milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hatatikisika kale na kale, mwongofu ni mtu atakayekumbukwa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana hataondoshwa kamwe; Mwenye haki atakumbukwa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatashindwa hata kidogo; atakumbukwa milele.