Psalms 112:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hana haja ya kuogopa akipata habari mbaya; ana moyo thabiti na humtegemea Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hataogopa habari mbaya, moyo wake ni thabiti, ukimtegemea Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hataogopa habari mbaya; Moyo wake u imara ukimtumaini Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hana haja ya kuogopa akipata habari mbaya; ana moyo thabiti na humtegemea Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hataogopa habari mbaya, moyo wake ni thabiti, ukimtegemea BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hataogopa habari mbaya, moyo wake ni thabiti, ukimtegemea bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hataogopa habari mbaya; Moyo wake u imara ukimtumainia BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hana haja ya kuogopa akipata habari mbaya; ana moyo thabiti na humtegemea Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Masingizio mabaya hayaogopi, moyo wake umeshupaa, maana humwegemea Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hataogopa habari mbaya; Moyo wake u imara ukimtumaini BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haogopi habari mbaya; moyo wake unasimama imara na anamutegemea Yawe.