Psalms 112:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yuko imara moyoni, wala hataogopa; naye atawaona maadui zake wanashindwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wake ni salama, hatakuwa na hofu, mwishoni ataona ushindi dhidi ya adui zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wake umethibitika hataogopa, Hata awaone watesi wake wameshindwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yuko imara moyoni, wala hataogopa; naye atawaona maadui zake wanashindwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wake ni salama, hatakuwa na hofu, mwishoni ataona ushindi dhidi ya adui zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wake ni salama, hatakuwa na hofu, mwishoni ataona ushindi dhidi ya adui zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wake umethibitika hataogopa, Hata awaone watesi wake wameshindwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yuko imara moyoni, wala hataogopa; naye atawaona maadui zake wanashindwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa na msingi wa moyo wake haogopi kamwe, mpaka atakapoona, wanavyofanyiziwa wao wamsongao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wake umethibitika hataogopa, Hata awaone watesi wake wameshindwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yuko imara ndani ya moyo, wala hataogopa; naye ataona waadui zake wakishindwa.