Psalms 112:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini; uadilifu wake wadumu milele. Nguvu yake inatukuzwa kwa heshima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake hudumu milele; pembe yake itatukuzwa kwa heshima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amekirimu, na kuwapa maskini, Haki yake yakaa milele, Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini; uadilifu wake wadumu milele. Nguvu yake inatukuzwa kwa heshima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini, haki yake yadumu milele, pembea yake itatukuzwa kwa heshima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake hudumu milele; pembe yake itatukuzwa kwa heshima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ametoa kwa ukarimu, na kuwapa maskini, Haki yake yakaa milele, Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini; uadilifu wake wadumu milele. Nguvu yake inatukuzwa kwa heshima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alizimwaga mali zake, akawagawia wao waliozikosa; huu wongofu wake hukaa kale na kale, baragumu lake huwa limeelekezwa juu kwa kuwa lenye utukufu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amekirimu, na kuwapa maskini, Haki yake yakaa milele, Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anatoa kwa moyo safi, anawapa wamasikini. Haki yake inadumu milele. Ana nguvu na sifa.