Psalms 113:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watumishi wa Mwenyezi-Mungu, lisifuni jina lake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu. Enyi watumishi wa Mwenyezi Mungu msifuni, lisifuni jina la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haleluya. Enyi watumishi wa Bwana, sifuni, Lisifuni jina la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watumishi wa Mwenyezi-Mungu, lisifuni jina lake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA. Enyi watumishi wa BWANA msifuni, lisifuni jina la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana. Enyi watumishi wa bwana msifuni, lisifuni jina la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haleluya. Enyi watumishi wa BWANA, sifuni, Lisifuni jina la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watumishi wa Mwenyezi-Mungu, lisifuni jina lake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haleluya! Ninyi watumishi wake Bwana, shangilieni! lishangilieni Jina lake Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haleluya. Enyi watumishi wa BWANA, sifuni, Lisifuni jina la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haleluia! Enyi watumishi wa Yawe, musifu jina lake!